Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ukipata mtu mwenye uwezo mkubwa kuliko wewe, fanya nae kazi, usishindane nae jifunze tu.
✔️✔️Mara nyingi unapitia vipindi vigumu kwenye maisha Ila fahamu ya kwamba hata Maua yanahitaji jua kali na mvua ili yastawi na kuchanua.