Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tai anapozeeka, manyoya yake huwa dhaifu na hushindwa kumpeleka kwa kasi na kumpandisha juu kama atakavyo. Hii humfanya kuwa dhaifu na huweza kumsababishia kifo. Hivyo huenda kupumzika mbali milimani. Akiwa huko, hunyofoa manyoa yote dhaifu mwilini mwake na huvunja mdomo wake kwenye mawe na makucha yake kwenye miamba hadi pale anapobakia mtupu kabisa; ni mchakato wenye kumwaga damu nyingi na maumivu makali. Kisha hubakia huko mafichoni hadi pale anapoota manyoya mapya, mdomo mpya na kucha mpya, kisha hutokea akiruka juu kuliko awali.

MAANA: Tunawiwa mara kadhaa kuachana na tabia za kale bila kujali ugumu uliopo katika kuziacha, mambo yanayotuwia mzigo au vitu ambavyo haviongezi thamani katika maisha yetu vinatakiwa kuondoka.
📌📌📌
 
👍👍👍
 
📌👍
 
Tai hupenda dhoruba. Mawingu yanapojikusanya, tai hufurahia, tai huutumia upepo wa dhoruba kupanda juu zaidi. Mara tai anapokutana na upepo wa dhoruba, huitumia dhoruba kupanda juu ya mawingu. Hii humpa tai fursa ya kuelea na kupumzisha mabawa yake. Wakati huo ndege wengine hujificha kwenye matawi na majani ya miti.

MAANA: Kabiliana na changamoto zako uso kwa uso huku ukitambua kuwa zitakuacha ukiwa imara na bora kuliko ulivyokuwa. Tunaweza kutumia dhoruba za maisha kupanda ngazi za juu zaidi. Wapambanaji huwa hawaogopi kufika hatua za juu zaidi. Wapambanaji huwa hawaogopi changamoto, zaidi huzikabili na kuzitumia kwa faida.
Ujumbe
 
✔️👍✔️
 
✅️✅️✅️
 
👍👍✔️
 
Back
Top Bottom