myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Sawa piaUkipata mtu mwenye uwezo mkubwa kuliko wewe, fanya nae kazi, usishindane nae jifunze tu.

Muhimu sana ujumbe huuKuwa makini na watu hawa Katika maisha yako
1. Usikae na watu wanaokudharau.
2. Usikae na watu ambao hawathamini utu wako
3. Usikae na watu ambao malengo yao ni kwa faida yao tu
4. Usikae na watu ambao hawataki kusherehekea hatua zako ndogo za maendeleo.
5. Wasengenyaji
Hili sahihiKuna umri unafika huhitaji vitu vingi, unahitaji marafiki wachache, maisha ya faragha, akili iliyotulia, na moyo wenye furaha
Muhimu sana sana..Kuwa makini na watu hawa Katika maisha yako
1. Usikae na watu wanaokudharau.
2. Usikae na watu ambao hawathamini utu wako
3. Usikae na watu ambao malengo yao ni kwa faida yao tu
4. Usikae na watu ambao hawataki kusherehekea hatua zako ndogo za maendeleo.
5. Wasengenyaji
Sawa kabisaKuna umri unafika huhitaji vitu vingi, unahitaji marafiki wachache, maisha ya faragha, akili iliyotulia, na moyo wenye furaha
SawaKuwa makini na watu hawa Katika maisha yako
1. Usikae na watu wanaokudharau.
2. Usikae na watu ambao hawathamini utu wako
3. Usikae na watu ambao malengo yao ni kwa faida yao tu
4. Usikae na watu ambao hawataki kusherehekea hatua zako ndogo za maendeleo.
5. Wasengenyaji
✔️ ✔️
👍👍View attachment 3106923
Leornado Da Vinci Famous piece