myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
📌📌📌Sababu za kwanini usitishike na maisha ya watu mtandaoni;
1. 90% ni fake
2. Siyo maisha ya kila siku ya mtu
3. Haikusaidii kubadilisha maisha yako
4. Siku za kuhustle ni nyingi kuliko za kufurahi
5. Hujui watu wanapataje pesa.
Ishi maisha yako tumia kila siku moja vizuri