Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Njaa husababisha kushuka kwa kiwango cha sukari mwilini. Ili kujilinda na kufanya utendaji uendelee kama kawaida, mwili huzalisha homoni mbili ambazo ni 'Adrenaline na Cortisol'.Homoni hizo husaidia kuongeza kiwango cha sukari lakini pia huuweka mwili kwenye tahadhari ya kupambana na kitu chochote, na hapo ndipo hasira huwa ni rahisi kutokea
 
Duh
 
Sawa
 
Back
Top Bottom