myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
📌📌📌Punguza kujielezea sana kwao, elewa hakuna mtu aliefuta number zako/kukusahau, ni vile wewe kipato chako hakipo sawa na wao, hivyo kwa sasa jitafute ili ujipate baadae wao ndio watakutafuta baada ya kuona wewe umeshajipata