myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
✔️✔️Anorexia ni moja ya tatizo kwenye afya ya akili ambayo hutajwa kuwa na hatari mara 04 zaidi ya depression.
Anorexia huathiri saikolojia, ambapo mtu hupatwa na uoga unaomfanya kupunguza ulaji wa chakula kwa kiasi kikubwa kwa kuhofia kuongezeka uzito au kupata mabadiliko ya mwili.