myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Inawezekana ????
Wakati wenu
SawasawaBinadamu ndio mnyama pekee kwenye kundi la mamalia ambae anaweza kuamua kujichelewesha kulala makusudi.
Inaelekea ni kweliKutembea peku husaidia kuimarisha afya ya mwili na akili.
NakubalianaKutembea peku husaidia kuimarisha afya ya mwili na akili.
AiseeCuba: Ukiachana na ngono, ‘kondomu’ hutumika kwa shughuli zingine kama uvuvi, kubania nywele, kutengeneza mvinyo, kuzibia pancha, n.k.
SawaGreenland Shark: Ndio mnyama pekee mwenye uti wa mgongo anaeishi miaka mingi zaidi. Anaweza kuishi hadi miaka 400.
Hatua ya kubalehe hufikisha akiwa na miaka 150.
SawaCuba: Ukiachana na ngono, ‘kondomu’ hutumika kwa shughuli zingine kama uvuvi, kubania nywele, kutengeneza mvinyo, kuzibia pancha, n.k.
📌📌📌Unaweza usiambiwe, ila sio vizuri kufanya;
1. Ukipewa simu kama unaoneshwa pengine picha, tazama kisha rudisha na sio kuendelea kutazama picha zingine.
2. Ukipiga simu kama haitopokelewa, tuma meseji na sio kupiga mara nyingi hususani kama jambo sio dharura.
3. Ukipigiwa simu baada ya maongezi, usikate simu... Acha akate aliyepiga.
4. Ukikopeshwa pesa, unaporudisha kama ni kwa njia ya simu hakikisha unaongeza na kiasi cha makato atayokatwa wakati anatoa au mpe cash.
📌📌📌📌Unaweza usiambiwe, ila sio vizuri kufanya;