Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
DuhNjaa husababisha kushuka kwa kiwango cha sukari mwilini. Ili kujilinda na kufanya utendaji uendelee kama kawaida, mwili huzalisha homoni mbili ambazo ni 'Adrenaline na Cortisol'.Homoni hizo husaidia kuongeza kiwango cha sukari lakini pia huuweka mwili kwenye tahadhari ya kupambana na kitu chochote, na hapo ndipo hasira huwa ni rahisi kutokea
📌📌Mwanzoni mwa karne ya 20, farasi walikua wanachafua kwa kiasi kikubwa mazingira na kinyesi ambapo maendeleo ya vyombo vya moto (automobiles) ilionekana kuwa ni moja ya tiba sahihi kwa usafi wa mazingira endelevu!
AiseeBlue Zones ni maeneo ambayo ni kawaida kwa watu kufikisha miaka 80 na zaidi.
Baadhi ni;-
Okinawa - Japan-
Sardinia - Italy-
Loma Linda - California- Nicoya Peninsula - Costa Rica- Icaria - Greece
SawaNjaa husababisha kushuka kwa kiwango cha sukari mwilini. Ili kujilinda na kufanya utendaji uendelee kama kawaida, mwili huzalisha homoni mbili ambazo ni 'Adrenaline na Cortisol'.Homoni hizo husaidia kuongeza kiwango cha sukari lakini pia huuweka mwili kwenye tahadhari ya kupambana na kitu chochote, na hapo ndipo hasira huwa ni rahisi kutokea