myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
4. Ukikopeshwa pesa, unaporudisha kama ni kwa njia ya simu hakikisha unaongeza na kiasi cha makato atayokatwa wakati anatoa au mpe cash.
3. Ukipigiwa simu baada ya maongezi, usikate simu... Acha akate aliyepiga.
Nakubaliana3. Ukipigiwa simu baada ya maongezi, usikate simu... Acha akate aliyepiga.
✅️✅️✅️3. Ukipigiwa simu baada ya maongezi, usikate simu... Acha akate aliyepiga.
✅️✅️✅️Unaweza usiambiwe, ila sio vizuri kufanya;
1. Ukipewa simu kama unaoneshwa pengine picha, tazama kisha rudisha na sio kuendelea kutazama picha zingine.