myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
✔️👍👍Usikate tamaa, kila kitu ni vigumu kabla ya kuwa rahisi.
✔️👍👍Usikate tamaa, kila kitu ni vigumu kabla ya kuwa rahisi.
Sawa kabisaUsikate tamaa, kila kitu ni vigumu kabla ya kuwa rahisi.
SawaMaisha ni kama baiskeli; ili kuendelea mbele, unahitaji kuendelea kupanda.
SahihiUsikate tamaa, kila kitu ni vigumu kabla ya kuwa rahisi.
📌Nukuu ni kama mwanga katika giza; zinatuongoza kwenye njia sahihi.
📌📌Ikitoke Mtu kakujibu vibaya jitahidi tu kumuelewa na kumsamehe, Kuna time watu wanapitia mambo yasio Elezeka
👍📌👍Ni watu wachache sana wanaofurahi kutoka moyoni kuona wewe ukifanikiwa.
Na ikatokea ukafanikiwa, watu wa hivyo watendee mema. Wana thamani
👍✔️👍Ni watu wachache sana wanaofurahi kutoka moyoni kuona wewe ukifanikiwa.
Na ikatokea ukafanikiwa, watu wa hivyo watendee mema. Wana thamani
✔️👍👍Ni watu wachache sana wanaofurahi kutoka moyoni kuona wewe ukifanikiwa.
Na ikatokea ukafanikiwa, watu wa hivyo watendee mema. Wana thamani
SawaNukuu ni kama mwanga katika giza; zinatuongoza kwenye njia sahihi.
✔️✔️👍Mawazo yako yanaweza kubadilisha maisha yako. Fikiri kwa makini.
✔️👍✔️👍Katika ulimwengu wa kelele, nukuu nzuri zinaweza kuwa sauti ya busara.
✔️✔️👍Katika ulimwengu wa kelele, nukuu nzuri zinaweza kuwa sauti ya busara.
👍👍Katika ulimwengu wa kelele, nukuu nzuri zinaweza kuwa sauti ya busara.
📌Ikitoke Mtu kakujibu vibaya jitahidi tu kumuelewa na kumsamehe, Kuna time watu wanapitia mambo yasio Elezeka
📌📌📌Ukweli Haushindwi hata kama una tabia ya kuchelewa.
🙏🤲Kama ulitoka salama na umerudi home salama, mwambie Mungu Asante
SahihiKusoma sio kuelimika bali Uelewa na Upeo wamtu na kujitambua ndio akili yenyewe
🙏🤲Kama ulitoka salama na umerudi home salama, mwambie Mungu Asante
👍👍Unaweza kuanguka na kushindwa lakini hakikisha unainuka na kushinda