myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
ShukuraniKama ulitoka salama na umerudi home salama, mwambie Mungu Asante
ShukuraniKama ulitoka salama na umerudi home salama, mwambie Mungu Asante
Shukurani 🤲🙏Kama ulitoka salama na umerudi home salama, mwambie Mungu Asante
🤣🤣Wote Ndege ila hakuna urafiki wa Kuku na Mwewe shtuka
🤲🙏Kama ulitoka salama na umerudi home salama, mwambie Mungu Asante
SawaAmini kwenye ndoto zako na usikubali vikwazo vikuzuie.
SawaJitihada Ambazo Unazozifanya Sasa Katika Maisha Yako Ndio Ambazo Zitakupatia Faraja na Amani Mbeleni..!!
SawaSiku hazingandii kabisa ukipatacho ridhika mana hii riziki tunayoitafuta haigombaniwii
✔️📌Maisha ni safari yenye milima, mabonde, mteremko na misukosuko.Ukijifunza kuzikubali hizo changamoto utakuwa umeyapatia maisha.
✔️✔️Siku hazingandii kabisa ukipatacho ridhika mana hii riziki tunayoitafuta haigombaniwii
1✔️✔️✔️Kubali matokeo tu kwamba wewe sio wa muhimu sana kwa baadhi ya watu na uendelee na maisha yako..