Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Sio kila tatizo ni shari, baadhi ya matatizo yana kuja kukusafishia njia ya maisha yako
✔️✔️Watu hubadilika na wala hawaitaji sababu, kwahiyo jifunze kuacha vitu viende.
🙏🙏🤲Watu wakitaka kuona Baraka za Mungu basi waangalie maisha yako kwanza.
✔️✔️Jitihada Ambazo Unazozifanya Sasa Katika Maisha Yako Ndio Ambazo Zitakupatia Faraja na Amani Mbeleni..!!