myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
✔️✔️✔️Maisha ni Mzunguko Usimuudhi au kukejeri Binadamu MwenzakoKuna siku Mtakutana sehemu utamuonea aibu -- J k kikwete
✔️✔️Maisha ni Mzunguko Usimuudhi au kukejeri Binadamu MwenzakoKuna siku Mtakutana sehemu utamuonea aibu -- J k kikwete
✔️✔️Jitihada Ambazo Unazozifanya Sasa Katika Maisha Yako Ndio Ambazo Zitakupatia Faraja na Amani Mbeleni..!!
✔️✔️Usiharibu vitu vya muhimu Ili upate vitu vipyaKila mtu anapenda vitu vitokee haraka na kwa usahihi zaidiLakini itakupasa kurudi kutengeneza mapito yako Ili viendelee kutokea kwenye matamanio yako
KweliJitihada Ambazo Unazozifanya Sasa Katika Maisha Yako Ndio Ambazo Zitakupatia Faraja na Amani Mbeleni..!!
SawaPambana bila kukata tamaa Huku ukijua kuwa hatima ya maisha yako ipo kwako mwenyewe, Hakuna wa kupambana kwaajili ya maisha yako.
📌📌Pambana bila kukata tamaa Huku ukijua kuwa hatima ya maisha yako ipo kwako mwenyewe, Hakuna wa kupambana kwaajili ya maisha yako.
📌📌Usiharibu vitu vya muhimu Ili upate vitu vipyaKila mtu anapenda vitu vitokee haraka na kwa usahihi zaidiLakini itakupasa kurudi kutengeneza mapito yako Ili viendelee kutokea kwenye matamanio yako
SawaChangamoto za maisha zisikuaribie ndoto yako maana mbeba maono hafi
✔️✔️✔️Changamoto za maisha zisikuaribie ndoto yako maana mbeba maono hafi
📌📌Usiharibu vitu vya muhimu Ili upate vitu vipyaKila mtu anapenda vitu vitokee haraka na kwa usahihi zaidiLakini itakupasa kurudi kutengeneza mapito yako Ili viendelee kutokea kwenye matamanio yako
SawaUkifanya unachokipenda Utafurahi ila Ukipenda unachokifanya utafanikiwa.
✔️✔️✔️Kila mafanikio yanahitaji kujitolea na kujifunza kutoka kwa makosa.
SawaUkifanya unachokipenda Utafurahi ila Ukipenda unachokifanya utafanikiwa.
NakubalianaUsijali kuhusu kushindwa; jifunze kutoka kwao na endelea.
SawwUshindi ni malipo ya subira, nidhamu, na bidii.
📌📌📌Ushindi ni malipo ya subira, nidhamu, na bidii.
📌✅️✅️Usijali kuhusu kushindwa; jifunze kutoka kwao na endelea.
Kila mafanikio yanahitaji kujitolea na kujifunza kutoka kwa makosa.
Kila mafanikio yanahitaji kujitolea na kujifunza kutoka kwa makosa.
Usiruhusu watu wakuambia kuwa huwezi kufanya jambo. Iwapo unataka kitu, pambana nacho.