myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
✔️✔️✔️Huwezi kuwa shujaa bila changamoto, kwani ndizo zinazokujenga
Uko SawasawaWapo watu watarudi kwako baada ya kukatishwa tamaa na watu ambao walidhani wao ni bora kuliko wewe
Sawasawa ✔️ ✔️Kitu Pekee Cha Thamani Unachotakiwa Kujivunia Kila Siku Ni Uhai Na Afya Uliyonayo
Sawasawa kabisaHakuna historia isiyo kuwa na mapito,Hakuna kesho isiyo na maono, Na leo yako inakamilishwa na mapito pamoja na maono yako iheshimu leo ndio yenye kesho yako
📌📌📌Ubaya haudumu tenda wema kadri uwezavyo kwa maana ni hazina kubwa na ya kudumu duniani kuliko ubaya.
📌📌📌Ulimwengu huu tunaoishi una mambo mengi sana ya kushangaza,kufurahisha,kuhuzunisha na kutafakarisha.
Sasa kilochobaki kinatudhibiti wanadamu ni hofu ya kifo basi.
SahihiUlimwengu huu tunaoishi una mambo mengi sana ya kushangaza,kufurahisha,kuhuzunisha na kutafakarisha.
Sasa kilochobaki kinatudhibiti wanadamu ni hofu ya kifo basi.
Ukweli KabisaUlimwengu huu tunaoishi una mambo mengi sana ya kushangaza,kufurahisha,kuhuzunisha na kutafakarisha.
Sasa kilochobaki kinatudhibiti wanadamu ni hofu ya kifo basi.
Ujumbe huuUkiona mtu anakuambia huwezi kufanya jambo fulani usiogope maana huo ndio mwisho wake wa kufikiria/chukua maamuzi zingatia malengo yako
📌📌Ulimwengu huu tunaoishi una mambo mengi sana ya kushangaza,kufurahisha,kuhuzunisha na kutafakarisha.
Sasa kilochobaki kinatudhibiti wanadamu ni hofu ya kifo basi.
📌📌📌Ulimwengu huu tunaoishi una mambo mengi sana ya kushangaza,kufurahisha,kuhuzunisha na kutafakarisha.
Sasa kilochobaki kinatudhibiti wanadamu ni hofu ya kifo basi.
InawezekanaUlimwengu huu tunaoishi una mambo mengi sana ya kushangaza,kufurahisha,kuhuzunisha na kutafakarisha.
Sasa kilochobaki kinatudhibiti wanadamu ni hofu ya kifo basi.