Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Exactly
Walifika saa 9 usiku au 3 in the morning!
Uzuri wake wao wanajua kuji entertaine wenyewe!
hahahaha
Safi sana. Likely na vitu vya kuwafanya waji-entertain wenyewe vipo hapo Masaki. Ingekuwa huku Koromije si ajabu wangekuwa wanaangalia mashamba ya nyanya na dengu kwa sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…