Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Wenye nazo siku hizi wanaweka micheni ya dhahabu, mipete mpaka na expensive wines & spirits. Naona wanajaribu kuwaiga mafarao wa kale waliozikwa na supply ya kutosha ya kila kitu walichohitaji huko waendako!Maajabu ni pale kaburi linapopambwa kwa maua wakati ndani yake kuna mifupa tu! Tafakari..!!
Not sure ila haya mambo ya wahenga haya hata sijui kama yanahitaji confirmation [emoji23][emoji23][emoji23]So who's going to confirm it?
Hahahaaa! Hizo mali si bora zingetumika kusaidia masikini kuliko zinaenda kuoza bila faida?Wenye nazo siku hizi wanaweka micheni ya dhahabu, mipete mpaka na expensive wines & spirits. Naona wanajaribu kuwaiga mafarao wa kale waliozikwa na supply ya kutosha ya kila kitu walichohitaji huko waendako!
Hii inataka ufafanuzi hii...Tajiri akiugua masikini ndio huanza kufa.
Matajiri wa Africa hasa hawa vijana vijana ndo wanafanya hivyo siku hizi. Wengine mpaka wanazikwa na magari yao ya kifahari. Kaburi la Ivan (RIP) liliwekewa walinzi ili watu wasifukue kukwapua mamilioni ya pesa na jewelry alizozikwa nazo...Hahahaaa! Hizo mali si bora zingetumika kusaidia masikini kuliko zinaenda kuoza bila faida?
Maskini anategemea tajiri ku kuishi!Hii inataka ufafanuzi hii...
Upumbavu katika ubora wake!Matajiri wa Africa hasa hawa vijana vijana ndo wanafanya hivyo siku hizi. Wengine mpaka wanazikwa na magari yao ya kifahari. Kaburi la Ivan (RIP) liliwekewa walinzi ili watu wasifukue kukwapua mamilioni ya pesa na jewelry alizozikwa nazo...
Aisee. Na ukiambiwa kitu mara kwa mara mwishowe unaanza kukiamini...View attachment 541994
Maskini anategemea tajiri ku kuishi!
Ndiyo maana hao punguani wanapenda kutuita nchi za kiafrika maskini! Kwa kuwa wanajua mdomo unaumba!
Hivyo wana CONTROL our minds ili tuone wao ni superior!
Mwenye Enzi Mungu ingilia kati utusaidie milele!
Ndiyo maana Utukufu wao ukachukuliwa na watu weupe!Wenye nazo siku hizi wanaweka micheni ya dhahabu, mipete mpaka na expensive wines & spirits. Naona wanajaribu kuwaiga mafarao wa kale waliozikwa na supply ya kutosha ya kila kitu walichohitaji huko waendako!
Kweli mkuuKwanza nilifikiri unajaribu kuchora picha ya Carba. Kumbe ni optical illusion tu. Our senses can easily be tricked. That's why I don't trust them!
Na sisi tumeshtuka sasa ndiyo maana sipendi kusoma post yeyote inayosagia nchi yangu au mtu mweusi!Aisee. Na ukiambiwa kitu mara kwa mara mwishowe unaanza kukiamini...
Watu wa mazingaombwe wanajua sana tricks hizi za optical illusion. Wanafokasi attention yako huku kumbe huku wanafanya yao....Kweli mkuu
Yeah nimeistukiaWatu wako lunch mchana huu au kwa vile ni Friday? Naona kama vile kumepooza pooza hivi. Likes na thread inajikongoja [emoji23][emoji23][emoji23]
hiyo mistari ina neno 'tigerWhere?
Egypt mimi kwa kweli bado ni fumbo. Technology ile iliyowafanya wajenge mapiramidi, kukata, kunyanyua na kuchomelea mapande ya miamba migumu yenye uzito mpaka wa tani 50 ilipotelea wapi? Leo hii na mashine za kila aina bado ni ngumu, Wamisri wa kale waliwezaje? Nguvu za akina ISIS zilihusika ama? ...and then what happened?Ndiyo maana Utukufu wao ukachukuliwa na watu weupe!
Lakini sasa umerudi tena kwetu!