Yawezekana haujui ni muda gani Mungu atasikia na kujibu maombi yako. Lakini kwa imani na juhudi ulizonazo amini ipo siku Mungu atakutendea kwa wakati sahihi

Kila mwanadamu ana maisha matatu , maisha yako ukiwa mbele za watu , maisha yako binafsi unayoishi na watu wako wa karibu na maisha yako ya siri asiyoyajua mtu , hivyo hakikisha unawachagua watu sahihi katika kila aina ya maisha kushare nao Kati ya hayo maisha yako matatu

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.