Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kama Una hamu ya kuchanganyikiwa na haya maisha wala usihangaike na bange , wewe jichanganye kwenye mapenzi kumpenda mwanamke / mwanaume asiye endana na wewe
SawaHakikisha unakua na mtu ambae mnaweza kufanya nae utani na kutaniana na kupiga nae umbea maana mapenzi sio gwaride la jeshi
SawaHakikisha sababu ya huo upole wako isiwe ni kwa sababu hauna pesa
UjumbeKama umechagua kujitenga na mtu kwa sababu ya kuuamini uongo ulioambiwa dhidi yake , basi hakikisha unabaki upande huo huo wa uongo hata pindi ukweli utakapokua ukijidhihirisha wazi
✔️✔️Kama umechagua kujitenga na mtu kwa sababu ya kuuamini uongo ulioambiwa dhidi yake , basi hakikisha unabaki upande huo huo wa uongo hata pindi ukweli utakapokua ukijidhihirisha wazi
✅️Hakikisha unakua na mtu ambae mnaweza kufanya nae utani na kutaniana na kupiga nae umbea maana mapenzi sio gwaride la jeshi
✅️✅️Kama Una hamu ya kuchanganyikiwa na haya maisha wala usihangaike na bange , wewe jichanganye kwenye mapenzi kumpenda mwanamke / mwanaume asiye endana na wewe
✅️✅️✅️Kama Una hamu ya kuchanganyikiwa na haya maisha wala usihangaike na bange , wewe jichanganye kwenye mapenzi kumpenda mwanamke / mwanaume asiye endana na wewe