myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
SawaMkumbushe mwanao kuwa siku ambayo, ata chota maji kwa ndoo yake mwenyewe, ndipo ata kapo thamani kila toni linalo anguka.
SawasawaMaisha yako 100 % ni matokeo ya Yale yanayotendeka katika ulimwengu wa roho
SawaMaisha yako 100 % ni matokeo ya Yale yanayotendeka katika ulimwengu wa roho
SawasawaKila mwanadamu ana maisha matatu , maisha yako ukiwa mbele za watu , maisha yako binafsi unayoishi na watu wako wa karibu na maisha yako ya siri asiyoyajua mtu , hivyo hakikisha unawachagua watu sahihi katika kila aina ya maisha kushare nao Kati ya hayo maisha yako matatu
AiseeKila mwanadamu ana maisha matatu , maisha yako ukiwa mbele za watu , maisha yako binafsi unayoishi na watu wako wa karibu na maisha yako ya siri asiyoyajua mtu , hivyo hakikisha unawachagua watu sahihi katika kila aina ya maisha kushare nao Kati ya hayo maisha yako matatu
1✔️✔️Kila mwanadamu ana maisha matatu , maisha yako ukiwa mbele za watu , maisha yako binafsi unayoishi na watu wako wa karibu na maisha yako ya siri asiyoyajua mtu , hivyo hakikisha unawachagua watu sahihi katika kila aina ya maisha kushare nao Kati ya hayo maisha yako matatu
AiseeMkumbushe mwanao kuwa siku ambayo, ata chota maji kwa ndoo yake mwenyewe, ndipo ata kapo thamani kila toni linalo anguka.
✅️✅️Suluhisho la matatizo yetu ni Mungu kupitia watu. Muombe Mungu akupe watu sahihi maishani mwako.
👍Yawezekana haujui ni muda gani Mungu atasikia na kujibu maombi yako. Lakini kwa imani na juhudi ulizonazo amini ipo siku Mungu atakutendea kwa wakati sahihi
👍👍Suluhisho la matatizo yetu ni Mungu kupitia watu. Muombe Mungu akupe watu sahihi maishani mwako.
👍👍👍Kuna Ukweli mwingi sana kwenye neno NAKUTANIA, Usichukulie poa jifunze
AiseeYawezekana haujui ni muda gani Mungu atasikia na kujibu maombi yako. Lakini kwa imani na juhudi ulizonazo amini ipo siku Mungu atakutendea kwa wakati sahihi