myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
KweliSio kila Tabasamu linaonesha furaha, mara nyingine linaficha maumivu. Kuwa Mwema kila wakati, hujui mtu mwingine anapitia nini.
KweliSio kila Tabasamu linaonesha furaha, mara nyingine linaficha maumivu. Kuwa Mwema kila wakati, hujui mtu mwingine anapitia nini.
Kuna muda inakubidi ukubali tu yaishe maswala ya kulazimisha moyo kupenda mtu achia kifo
SawaKuna Mafanikio Alafu Kuna Thamani, Jitahidi Usiwe Mtu Wa Mafanikio Tu, Uwe Na Mtu Wa Thamani Pia
👍👍Kuna muda inakubidi ukubali tu yaishe maswala ya kulazimisha moyo kupenda mtu achia kifo
Mtu wa ThamaniKuna Mafanikio Alafu Kuna Thamani, Jitahidi Usiwe Mtu Wa Mafanikio Tu, Uwe Na Mtu Wa Thamani Pia
Dunia hii....Usidhani kwamba Kila anayejitenga na watu ni mjeuri au anajiskia, Hapana Kuna watu wengine wamepitia mitihani ambayo imewafanya wawe na hofu kuzoeana na watu, kwa hakika Dunia imejaa fitna.
SawaIkiwa hujui kinachoendelea katika maisha yako, waulize majirani zako wanajua kila kitu.
✔️✔️✔️Usisahau Mungu ndiye anaye kuamsha kila siku. Usiache kumuamini usiache kumtegemea na usiache Kumshukuru
✔️✔️Usijiweke available sana, kuwa adimu kidogo ili uongeze heshima yako kwasababu kitu kikiadimika kinaongezeka thamani
✔️✔️Don't wait for someone to bring you flowers. Plant your own garden and decorate your own soul.
👍👍Tafuta ambae unaweza kuishi naye kwa furaha na amani na sio Yule ambae huwezi kuishi bila yeye
SawaKuna Mafanikio Alafu Kuna Thamani, Jitahidi Usiwe Mtu Wa Mafanikio Tu, Uwe Na Mtu Wa Thamani Pia.
Dunia hiii.....Usidhani kwamba Kila anayejitenga na watu ni mjeuri au anajiskia, Hapana Kuna watu wengine wamepitia mitihani ambayo imewafanya wawe na hofu kuzoeana na watu, kwa hakika Dunia imejaa fitna.
KweliSiku Zote Tafuta Watu Wenye Mioyo Mizuri Na Sio Wenye Maisha Mazuri.Watu Wazuri Sio Wazuri Kila Wakati,lakini Watu Wema Siku Zote Ni Wazuri.
AiseeSiku Zote Tafuta Watu Wenye Mioyo Mizuri Na Sio Wenye Maisha Mazuri.Watu Wazuri Sio Wazuri Kila Wakati,lakini Watu Wema Siku Zote Ni Wazuri.
AiseeSiku Zote Tafuta Watu Wenye Mioyo Mizuri Na Sio Wenye Maisha Mazuri.Watu Wazuri Sio Wazuri Kila Wakati,lakini Watu Wema Siku Zote Ni Wazuri.
Fitina kila mahaliUsidhani kwamba Kila anayejitenga na watu ni mjeuri au anajiskia, Hapana Kuna watu wengine wamepitia mitihani ambayo imewafanya wawe na hofu kuzoeana na watu, kwa hakika Dunia imejaa fitna.
👍👍Kuna vitu haviwezi kusimama au kuimarika hadi wewe uimarike jitahidi ujitafute mapema uimarishe panapokuhitaji
👍👍Kuna vitu haviwezi kusimama au kuimarika hadi wewe uimarike jitahidi ujitafute mapema uimarishe panapokuhitaji