Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Aisee. Tena neno zima kabisa: The Hidden Tiger...hiyo mistari ina neno 'tiger
AminUbarikiwe sana ndugu yangu
Asante mkuu, vipi kwemaKaz njema mkuu
Kwema mkuu? Lunch tayari?Habari za mchana wadau
Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
Na iwe hivyo.Tatizo tunakandamizana wenyewe kwa wenyewe ili tusisimame,hatuna ushirikiano bali kudharauliana.Na sisi tumeshtuka sasa ndiyo maana sipendi kusoma post yeyote inayosagia nchi yangu au mtu mweusi!
Yaani lazima tuamke na tuwe na busara na ufahamu na hekima!
Watu weupe ni hataree!
Lakini sisi tunayaweza yote kwa yeye atutiae nguvu!
Kazi nzuri
Njemaza ijumaa wandugu
Hakuna linalo mshinda Mwenye Enzi Mungu!Na iwe hivyo.Tatizo tunakandamizana wenyewe kwa wenyewe ili tusisimame,hatuna ushirikiano bali kudharauliana.
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
HahahahaNatafuta pa kuanzia kulike!
Bageshi, za kupotea? Kwema huko? Mpare wetu hajambo?Wazima!?
Ni glass, lakini unaweza kugeuza na kuwa kitabu cha wahenga kile chenye kurasa 2
GLASS AU UMEONA NN?
UjingaMatajiri wa Africa hasa hawa vijana vijana ndo wanafanya hivyo siku hizi. Wengine mpaka wanazikwa na magari yao ya kifahari. Kaburi la Ivan (RIP) liliwekewa walinzi ili watu wasifukue kukwapua mamilioni ya pesa na jewelry alizozikwa nazo...
Wabeja. Umepika nini? Bajeti ya Kipare tutashiba kweli? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Karibuni chakula...
Amen (japo sina uhakika kwa sababu Mwafrika naye ukimwangalia yaani yupo yupo tu...)Hakuna linalo mshinda Mwenye Enzi Mungu!
Kila kitu na wakati wake!
Sasa ni wakati wa mwafrica!
Believe me!
Hakika,kwa uweza wake tuta shinda.Lakini mbaya wa Muafrika ni Muafrika mwenyewe (machinga na mgambo,masoko madogo dogo na manispaa),hiyo ni kwa uchache tu.Hakuna linalo mshinda Mwenye Enzi Mungu!
Kila kitu na wakati wake!
Sasa ni wakati wa mwafrica!
Believe me!