myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
NakubalianaKuna vitu haviwezi kusimama au kuimarika hadi wewe uimarike jitahidi ujitafute mapema uimarishe panapokuhitaji
Ujumbe huuUsipambane kuukimbia umaskini, Bali pambana ukuufahamu vizuri umaskini, Huwezi kukimbia kitu usicho kifahamu vyema. Kifahamu kwanza ndio uanze mipango ya kukikimbia.
NumeipataKuna watu sio kama wao hawakosei,ila wanachagua watu wa kuwakosoa wakikosea
Jaribu kuepukana na aina hiyo ya watu
SawaNdugu zetu hawazijui thamani zetu tena, Thamani tunapewa na wale ambao Hatujakua nao, ila ndio wamekua wakiziona Thamani zetu kwa sasa
SawaWakati ni zawadi ya thamani isiyoweza kurudishwa. Thamini kila sekunde, dakika, na saa ya maisha yako. Onesha upendo kwa familia na marafiki, jenga kumbukumbu zisizofutika, na usisahau kufurahia vitu vidogo vidogo maishani.
👍👍Usipambane kuukimbia umaskini, Bali pambana ukuufahamu vizuri umaskini, Huwezi kukimbia kitu usicho kifahamu vyema. Kifahamu kwanza ndio uanze mipango ya kukikimbia.
Huyo nae atulie