myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
NakubalianaUkubali ukweli kwamba maisha hayatakua rahisi, unapaswa kuwa na nguvu katika kila hali
NakubalianaUkubali ukweli kwamba maisha hayatakua rahisi, unapaswa kuwa na nguvu katika kila hali
✔️✔️Tuondoe vitu ambavyo havitujengi wala haviboreshi maisha yetu, Maisha ni safari fupi sana tuishi kila siku tukimaanisha
✔️✔️✔️Tuondoe vitu ambavyo havitujengi wala haviboreshi maisha yetu, Maisha ni safari fupi sana tuishi kila siku tukimaanisha
📌📌📌Hakuna aliyekuja na kitu duniani,Mimi, wewe na wote waliofanikiwa tulikuja watupu, vile vile tutaondoka watupu.Jitahidi sana pesa, mali, na vitu vyako vya thamani, visiwe chanzo cha kuwadharau wengine
AiseeHakuna aliyekuja na kitu duniani,Mimi, wewe na wote waliofanikiwa tulikuja watupu, vile vile tutaondoka watupu.Jitahidi sana pesa, mali, na vitu vyako vya thamani, visiwe chanzo cha kuwadharau wengine
📌📌Endelea kusonga,kushindwa ni sehemu tu ya safari ya mafanikio Pia tambua uko karibu sana na ndoto zako kuliko unavyodhania
✅️✅️✅️Asante Mungu kwa wiki mpya, tunapoenda kupambana tujalie baraka nguvu na ushindi siku ya leo.
Kupambana muhimuKuwa na moyo thabiti, kila changamoto ni somo la kufanya uongeze kitu au upunguze kitu. Pambana uwezavyo
MuhimuKuwa na moyo thabiti, kila changamoto ni somo la kufanya uongeze kitu au upunguze kitu. Pambana uwezavyo
SawaKuwa na moyo thabiti, kila changamoto ni somo la kufanya uongeze kitu au upunguze kitu. Pambana uwezavyo
KweliUlimwengu huu tunaoishi una mambo mengi sana ya kushangaza,kufurahisha,kuhuzunisha na kutafakarisha.
Sasa kilochobaki kinatudhibiti wanadamu ni hofu ya kifo basi.
📌📌Tukikumbuka tulipotoka hatuwezi kupotea tunapokwenda uvumilivu na kujitambua ndo silaha kubwa ya kuja kufanikiwa kwetu
Kweli hiliTunasimama kwa fahari na tunapiga magoti mbele za Mwenyezi Mungu tu, huko kwingine huwa tunalazimishwa tu.
👍👍Huwezi kuwa mzuri kwa kila mtu, endelea kuwa mzuri kwa wanaokuona mzuri hivyo hivyo.
🤣🤣ndoto tunazo tatizo muda wa kulala hatupati
SawaUlimwengu huu tunaoishi una mambo mengi sana ya kushangaza,kufurahisha,kuhuzunisha na kutafakarisha.
Sasa kilochobaki kinatudhibiti wanadamu ni hofu ya kifo basi.
NakubalianaDunia imekua sio sehemu salama tena kwa watu wema, Kwa watu wenye nafsi za upendo kwa wengine.
Nakubaliana na hili piaJifunze kutokuwa na dharau, kiburi, jeuri na maringo.
Kwenye haya maisha binadamu wote tunategemeana.
Pesa zako haziwezi kukuzika, tutakao kujimbia kaburi ni sisi wanadamu.
AiseeJifunze kutokuwa na dharau, kiburi, jeuri na maringo.
Kwenye haya maisha binadamu wote tunategemeana.
Pesa zako haziwezi kukuzika, tutakao kujimbia kaburi ni sisi wanadamu.
SawaTafuta amani na kila mtu,
Lakini kuwa tayari kwa vita muda wowote