myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
📌📌Ikiwa unahisi kuwa unapoteza kila kitu kumbuka kwamba Miti hupoteza majani kila mwaka na bado husimama na kusubiri siku bora zaidi.

🤲🤲Hata Walio Kufa Leo Waliamini Kifo Chao Kiko Mbali, Usiache Kumshukuru Mungu Kila Leo Yako.
SawaHata Walio Kufa Leo Waliamini Kifo Chao Kiko Mbali, Usiache Kumshukuru Mungu Kila Leo Yako.
KweliDuniani utachagua wewe uwe na Pesa au majungu
AsanteNakutia moyo, kama una wimbo wa kuimba, uimbe sasa. Kama una zawadi ya kutoa, itoe sasa. Kama una sala ya kuomba, iombe sasa. Kama una roho ya kuokoa, iokoe sasa... wakati bado unaweza!
✅️✅️Wakati mwigine wa kumbusha kuwa upendo ni muhimu sn kweny jamii inayo kuzinguka maan ujui nan hata kuwa msaada wako pale utakapo kuwa na shida
SawasawaMuda Uliobaki Ni Kujichanganya Kwa Mungu Tu
📌📌📌Unapozungumza jitahidi tusikie hekima kinywa mwako, unapotenda jitahidi tuone matendo mema ndani yako, unapovaa jitahidi tuone staha kwenye mavazi yako, kila ukifanyacho kiwe katika hali ya uwakilishi wa ujumbe mwema mbele ya macho ya watu.
Sahihi kabisaSio Kila Mtu Unaye Mjua Ana Takiwa Kujua Mambo Yako.
Ujumbe muhimuMaji machafu hayazuii mimea kukua, hivyo usi ruhusu maneno mabaya ya watu yazuie maendeleo yako.
✔️✔️✔️Maji machafu hayazuii mimea kukua, hivyo usi ruhusu maneno mabaya ya watu yazuie maendeleo yako.
👍👍👍Maji machafu hayazuii mimea kukua, hivyo usi ruhusu maneno mabaya ya watu yazuie maendeleo yako.
SawaKuna wakati mgumu katika maisha unaweza ukapitia hata wale wanaokutegemea unatamani wasijue maumivu unayo yapata