myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
SawaNi heri kumkimbilia Mungu kuliko kuwatumainia wanadamu
SawaNi heri kumkimbilia Mungu kuliko kuwatumainia wanadamu
✔️✔️✔️✔️KAMA MPAKA SAIVI UNAFANYA VITU ILI WATU WAKUONE, UNAITAJI SHULE
SawasawaUtajiri sio kipaji, ni kufanya kazi, imani, nguvu, bidii na akili
📌📌Aina nyingine ya kupata unachotaka ni kuvumilia unayoyapitia Kumbuka Imani haifanyi mambo Kuwa rahisi Bali mvumilivu hula mbivu..
Photoshop....
Kumbukumbu muhimu
Enzi ya ..Bin Ladin
AiseeHakuna Shujaa asiyejeruhiwa,pambana bila kukata tamaa, kumbuka huruma ya wanadamu inaweza kuishia kwenye pole tu ,lakini imani yako na juhudi zako hazina kikomo.
📌📌Hakuna Shujaa asiyejeruhiwa,pambana bila kukata tamaa, kumbuka huruma ya wanadamu inaweza kuishia kwenye pole tu ,lakini imani yako na juhudi zako hazina kikomo.
MuhimuSaidia ndugu kutokana na uwezo wa bajeti yako, sio kutokana na shida zao
SawasawaIkiwa unahisi kuwa unapoteza kila kitu kumbuka kwamba Miti hupoteza majani kila mwaka na bado husimama na kusubiri siku bora zaidi.
SawaIkiwa unahisi kuwa unapoteza kila kitu kumbuka kwamba Miti hupoteza majani kila mwaka na bado husimama na kusubiri siku bora zaidi.