The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Mfano tajiri ana makampuni yake na kaajiri watu,akianza kufilisika wale aliowaajiri ndio huanza kuadhirika kiuchumi kabla yake.Hii inataka ufafanuzi hii...
Habari yako mkuu numbisa
Nimekupata vizuri kabisa!Mfano tajiri ana makampuni yake na kaajiri watu,akianza kufilisika wale aliowaajiri ndio huanza kuadhirika kiuchumi kabla yake.
Usijidharau! Wakati Kemet kuna civilization wazungu walikuwa kama wanyama Europe!Amen (japo sina uhakika kwa sababu Mwafrika naye ukimwangalia yaani yupo yupo tu...)
Kazi nzuri