Jogoo wa Shamba II
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 3,645
- 7,174
Ahsante natamani nku....[emoji124][emoji124][emoji124]Me 2 my dearest
Hahahahah huyu muhenga mbona anajitekenya mwenyewe ili acheke.
Kweli aseeKula likes kwanza uelewa naadae
Ahsante natamani nku....[emoji124][emoji124][emoji124]
Hahahahah maneno haya wakati upo kwenye uhusiano unaweza kuhisi kweli.
Mkuu upo?naona mnafungiana tu na sammyluv,karibu tenaCarbamazepine
Wahenga wanafundisha sana na wana ukweli
Aaa wapi. Njoo huku Tampa uone muziki wake. You can pass out usipojiangalia. Nilipita Arizona last week weeee. Wanagonga mpaka 120F. Can't wait to go back to my lovely Koromije [emoji23][emoji23][emoji23]Nasikia Maryland ni joto la hatareee
Amesema kaona nini vileee?[emoji125] [emoji125]Mzee wa kudadisi,umeona nini vileee[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
Ukiwa na njaa utaahidi mengi ambayo ukishashiba unasahau kuyatekeleza.