Mtasema yote mwaka huu!!Mhenga aliyeanzisha huu uzi ajiandae kutozwa faini maana mzunguko wa likes kwenye majukwaa mengine umekuwa mdogo sababu ya mijilaikis inayomiminika humu.
Tutakutana huko wewe hujawi kupitwaNgoja nikadukue huko
Blessed
DuhWameshika nafasi ya tatu kutoka mkiani kwa uzembe [emoji23][emoji23][emoji23]
Na wewe barikiwa sanaaaaaaàaAminaaaaaaaaa
Barikiwa sana kwa likes
G8