Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
andjul ndugu yangu hebu njoo tusaidizane hapa[emoji23] [emoji23] Kichwa Kichafu na andjul naomba mseme mlichokiona hapa
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] baada ya kula hicho,nikafanye kazi gani????
Hahahaha
Wahenga hawatuachi salama
Nimewaona wawili tu ila usiulize ni yupi na yupi[emoji23][emoji23][emoji23]...kichwa njoo unisaidie hapa
KUNA WATU WANGAPI HAPI?
Hhahahaahah eti mnafahamianaNa hiyo miaka 8 tunatambika?
Magnificent indeed
SURA NGAPI HAPO?
UNAONA NINI NA NINI?
Tupo kakaNakuona kaka
Ndio utasikia sasa zile kauli za kanipotezea muda na kunichezea[emoji23] [emoji23]Hhahahaahah eti mnafahamiana
Mwisho je msipo fahamiana ndani ya 8years inakuwa vipi? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kesi yake iliishaje huyu? Hizi hela zilikuwa za nani?
Huyu naye ni Homo Sapiens?Home Cutt ( machine za kunyoa nywele za nyumbani) zinauzwa sh ngapi Town...?