Koh...koh...kohNinakodisha viti vya harusi kama kile kule nyuma kabisa....
![]()
Mzima kabisa karibu tena...habari ya wewecarba habari za siku mzima wewe
Do one thing every day that scares you.
— Anonymous
Hahaha inabidi tuuache chini ya kapeti aisee shilawadu wakiudukua sitakaa kwa amani
Ni kweli mzee babe S naimani atazipenda na kufurahi na kulala usingizi safi ukimuadisia hizo hadithiKaribuni sana tuishi kwa amani,
Nina hadithi nzuri sana hasa nyakati za usiku.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] naona wewe ni mwalimu ndo mana unajua[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji38][emoji38][emoji38]Andjul kanishitaki kwa kakako SHIMBA WA BUYENZE na ndugu yako carb, wananisakama kuwa nataka kumpora mke
Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
Hahah kaka ngoja kwanza nipone halafu hayo mengine ndio tutayajadili.Andjul ndo alileta kesi. Ulitaka wanafamilia tusimsikilize?![]()
Anasema watoto wazuri anawaona na watu wq design hiyo.Anataka kuwa kama wanaume wa dar?
HahhaahahHahaaaa kweli ukiwa na mtoto mkali ni shida
Akijibu niite
HahahahaMhenga aliyesema "Akili ni nywele, kila mtu ana zake"![]()