myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Sikati tamaa kabisaUsikate tamaa, mafanikio yapo karibu.
Sikati tamaa kabisaUsikate tamaa, mafanikio yapo karibu.
SawasawaKuanguka si mwisho, ni mwanzo wa kusimama tena
Nakubaliana na hiliUnapomwangazia mwingine, mwanga huo hukurudia wewe.
✔️✔️✔️Upendo wa kweli hauhitaji sababu.
Hakuna mwishoKujifunza hakukomi.
Hilo sawaUsiruhusu jana idhibiti leo
Sio kama mzee kobe..Tembea polepole, lakini usisimame
Hili sawasawaUshindi huja baada ya kujitahidi
Ni kweliWakati mgumu huzaa watu wenye nguvu
Sahihi kabisaRafiki wa kweli ni yule anayekutegemea hata unapoanguka.
Ujumbe huu muhimu sanaThamini kidogo ulicho nacho, si kila kitu.
Hili naaminiKila tatizo lina suluhisho.
Nili naamini piaUrafiki wa kweli ni zawadi isiyopimika.
KweliUtajiri wa kweli ni afya na furaha.