myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Shukrani sanaKuishi kwa shukrani ni njia ya furaha.
Shukrani sanaKuishi kwa shukrani ni njia ya furaha.
👍👍Usikubali hofu ikuzuie.
Hili Nakubaliana naloFursa zinatokea kwa walio tayari.
SawasawaMuda wako ni mali, utumie vizuri.
Hili pia kweli kabisaNguvu ya roho yako ni kubwa kuliko unavyofikiria.
InawezekanaBahati haiji bila juhudi.
Nimeelewa hiliUsidharau uwezo wako.
SawasawaFuraha ni uamuzi, si hali.
Kweli kabisaUwe na malengo, lakini usisahau kuishi sasa.
NakubalianaTumia muda na wale unaowapenda.