carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23] [emoji23]Udhaifu wangu unaujua unadhani nitaweza kukusingizia[emoji23] [emoji23] [emoji23]
KabisaMiruzi mingi humpoteza Mbwa.
Naona kila mtu anamjibu hata yasiyo takiwa,lakini si mngemuacha apumzike!!!Kwa nini wamuangalia tu?
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Hahahaha hata kwenye dictionary huruhusiwi. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Au tuanze kusema tumewachezea?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mgonjwa unataka supu au juice?Naona kila mtu anamjibu hata yasiyo takiwa,lakini si mngemuacha apumzike!!!
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
Unakuwa mwendawazimu kwa masaa machache kwa kweliKichwa cha chini kikikasirika chajuu hupoteza uwezo wake..!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] basi sawaHahahaha hata kwenye dictionary huruhusiwi. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Labda uje kucheza mwenyewe[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hata bapa natumia,ugonjwa wangu hauna masharti sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mgonjwa unataka supu au juice?