Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hivi unafikiri adui wa maisha yako anatoka mbali, Nyoka akiwa mbali hanaga Madhara Kabisa.
 
Maisha yanahitaji watu kuliko fedha, Ni mpumbavu tu pekee ndio Atasema maisha Yanahitaji Fedha.
 
Maisha yalipofikia kwa sasa, Yaani mtu anaye daiwa Ndio Anakua Mkali Kuliko Anaye Dai Haki Yake.
 
Samehe wakati unamachozi ya kuonewa na kudhuulumiwa Haki yako, Uone Mungu jinsi anavyo jibu Kwa Haraka.
 
"Kama mafanikio yako yanategemea kuumiza wengine, tambua kuwa anguko lako nawe lipo karibu." ~Togolani Mavura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…