Kuna Muda Katika Maisha Inakubidi Uishi Sehemu Usizozipenda , Upitie Nyakati Unazozichukia , Utabasamu Kwenye Nyakati Zinazohitaji Kulia Na Uondoke Sehemu Ulizo Ahidi Utabaki Milele

Hakuna Uadui mgumu wala Urafiki rahisi, kuna Maisha na Matukio yake na Kila Moja lina Muda wake, kama tunachokiona Sasa Hakifanani na tuliyoyaona Juzi, basi Hakitafanana na Kesho na ni Sawa(It's Okey), tuwe Tayari kwa Matokeo na Busara za Kuendana na Muda.

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.