Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Usipatwe na aibu juu ya kazi ufanyayo kumbuka Hakuna was kukulisha Kati ya hao uwaoneao aibu katika nyakati ngumu.
 
Mlitukataa tuliotaka kuwaoa Mkaenda kwa wajinga waliowazalisha na kuwafanya singo Maza.
Gazeti ahalinunuliwi jioni dada stuka acha Kusagula.
 
Maana nzima ya kuishi maisha ni kuishi wakati unayo maisha, sio kutafuta ili uishi. Maisha hayakusubiri uyaishi, maisha yanakwisha. Safari ya mafanikio ndio mafanikio yenyewe, unachopata baada ya hii safari ni mwisho wa mafanikio. Jitahidi kufurahia safari yako kuliko uendapo
 
Katika Maisha sio kila mtu atapenda au kufurahishwa na kila kitu utachokifanya.Watu waliowengi huwa hawapendi kuona unafanya vyema kuwazidi wao na hilo ni suala la kawaida kabisa katika maisha ya wanaadamu kwasababu hakuna anaependa kuonekana mdhaifu na mnyonge.
 
Makosa ni sehemu ya maisha lakini jitahidi sana usiyarudie labda kama kuna Jambo maalum kwenye kuyarudia. Tujifunze katika makosa ili tuimarike na tupate Busara za maisha.
 
RAFIKI YANGU kuna watu wengine kwa macho ya nyama utawaona kama wanakusifia sana lakini wakiwa PEKE YAO wanakuombea KIMYA KIMYA MABAYA MAKUBWA YAKUPATE ili upotee kabisa, muombe Mungu AKUPE hekima na busara za kujilinda na WADHALIMU hao kwenye maisha yako!!!!
 
Ukiunganisha hekima ya vitabuni na busara za maisha ya kila siku, unakuwa na silaha ya kushinda kila mtihani wa maisha
 
Back
Top Bottom