myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
NakubalianaChangamoto Ndio Utamu wa Maisha, Usiache Ku-Enjoy.
NakubalianaChangamoto Ndio Utamu wa Maisha, Usiache Ku-Enjoy.
SiruhusuUsiruhusu jana yako kuchukua mengi ya leo.
📌📌Mtu akitaka kukuambia ukweli na akiwa anaogopa kukuambia atakufikishia Kwa njia ya ucheshi na usipokua makini utacheka haliyakua yeye kamaanisha...
📌📌📌Pesa inakupa Uhuru Wa Kuchagua .Watu Hawatafuti Pesa ili Wawe Matajiri ,Wanatafuta Pesa ili Wawe Na Uwezo Wa Kuchagua
SahihiWakati mwingine waache waamini upo upo tu Inasaidia Sana.
Kweli hiliMara nyingi, ndoto kubwa hufichwa nyuma ya milima mikubwa.
Nashukuru MunguKuna watu wengi wanavigezo sawa Na vyako lakini kazi ulipata wewe peke yako , JIFUNZE KUSHUKURU
AiseeUkipata Nafasi ya Kula, Kula Sana Hakuna Drip inayopitisha Mishkaki
Sawasawa ✔️Kufanikiwa kwako kusikufanye uwaone ambao bado hawajafanikiwa kwamba ni wavivu mafanikio ni foleni
SawaUsiogope kushindwa hata kalkuleta huwa na makosa ikiwa mtu hajui kutumia