Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Maisha ni kile ukitendacho; ipo hivyo, itakuwa hivyo.” – Grandma Moses
✔️✔️Mtu hata badili maisha yake kama hakuanza na kubadiri fikira zake.” – William James
✔️inaonyesha umuhimu wa utafiti kabla ya kutoa maoni.
1 ✔️✔️✔️No research no right to speak,
✔️Kwa kutazama tu ulichonacho maishani, kila siku utahisi unazaidi; ila kwa kutazama unachokosa maishani, kamwe hutakuwa na zaidi.” – Oprah Winfrey
✔️✔️Maisha ni kile ukitendacho; ipo hivyo, itakuwa hivyo.” – Grandma Moses
✔️✔️inatukumbusha kuhusu thamani ya juhudi
👍Changamoto hupendezesha maisha, na kukabiliana nazo ndio maana halisi ya maisha.” – Joshua J. Marine
👍👍Changamoto hupendezesha maisha, na kukabiliana nazo ndio maana halisi ya maisha.” – Joshua J. Marine
SawaMaisha ni kile kinachokutatiza wakati unapangilia mikakati yako.” – John Lennon
SawasawaJifunze kuona poa
1.Usipofahamika.
2.Wasipokutambua.
3.Usipo alikwa.
4.Usiposhirikishwa
Watu sio oksijen unaweza ishi bila wao.
✔️✔️Maisha hayapimwi kwa idadi ya pumzi tuivutayo, hupimwa kwa idadi za hatua zichuako pumzi zetu.” – Maya Angelou
SawasawaMaisha ni asilimia 10 ya kile kinachonipata na asilimia 90 ni kile nikifanyacho katika kukabiliana na hiyo hali.” – Charles Swindoll
✔️✔️✔️Enenda wima katika ndoto zako, na utaishi maisha uliotaraji.” – Henry David Thoreau
👍👍👍Maisha huchanua na kusinyaa kutokana na ujarisi wa mtu husika.” – Anaïs Nin
✔️✔️✔️Muda wako unakikomo, kamwe usipoteze kujaribu kuishi maisha ya mtu mwingine.” – Steve Jobs
SawaHata wale wanaocheka na wewe Kila siku na wapo karibu yako ndio hao hao wanaoweza kuwa maadui zako wakubwa Kua makini...