myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
SawasawaChangamoto Ndio Utamu wa Maisha, Usiache Ku-Enjoy.
SawasawaChangamoto Ndio Utamu wa Maisha, Usiache Ku-Enjoy.
👍👍👍Kama unasubiri ufarahi pindi ukishapata pesa, Kumbuka hiyo furaha itakua sio yako Ni Furaha ya Pesa.
📌📌Huu Mwaka Ondoa aibu kabisa, Hakikisha unakua mtu ulioonyooka, Usiogope lawama, Hizi lawama zipo kwa ajili ya watu na watu ndio sisi, Usikopeshe mtu hela. Siku ukidai chako Wewe ndio unageuka Mbaya/Adui.
✔️✔️Uaminifu ni Gharama Sana Sio Kila Mtu Anaweza Kuwa Nao.
SawaKama ni kweli unahitaji heshima, Basi inabidi uwaoneshe Unaweza Kuishi bila wao.
AiseeHata wale wanaocheka na wewe Kila siku na wapo karibu yako ndio hao hao wanaoweza kuwa maadui zako wakubwa Kua makini...
📌📌📌Kaka , Dada:
Najua "umechoka"
Najua "umepotea"
Najua una "huzuni"
Lakini ukiacha sasa hivi, basi kila mtu yuko sahihi kukuhusu.
Basi kwa hicho unafikilia/kufanya basi Onesha bidii ma Nidhamu Utashinda
✔️✔️✔️Kama ni kweli unahitaji heshima, Basi inabidi uwaoneshe Unaweza Kuishi bila wao.
📌📌📌Kama umeajiriwa jifunze kuwaheshimu maboss zako usijifanye mjuaji kuzidi aliyekuajiri
AiseeSafari ya mafanikio haianzi na ukamilifu, inaanza na uthubutu.
AiseeKama umeajiriwa jifunze kuwaheshimu maboss zako usijifanye mjuaji kuzidi aliyekuajiri
SawaaaaKaka , Dada:
Najua "umechoka"
Najua "umepotea"
Najua una "huzuni"
Lakini ukiacha sasa hivi, basi kila mtu yuko sahihi kukuhusu.
Basi kwa hicho unafikilia/kufanya basi Onesha bidii ma Nidhamu Utashinda
Sawasawa hiliMafanikio ya maisha yako ni muunganiko wa vitu vikuu vitatu. Muda, Jitihada na Baraka. Muda ni wa wote, jitihada ni za kwako ila baraka ni majaliwa.
📌📌Ndoto zako hazina mipaka, isipokuwa ile unayojiwekea mwenyewe. Amini katika uwezo wako, fanya kazi kwa bidii, na usikubali sauti za kushindwa zikuzuie. Mafanikio yako yako mikononi mwako.
📌📌Ndoto zako hazina mipaka, isipokuwa ile unayojiwekea mwenyewe. Amini katika uwezo wako, fanya kazi kwa bidii, na usikubali sauti za kushindwa zikuzuie. Mafanikio yako yako mikononi mwako.
✅️Ikitokea umeshindwa Kuwa daraja kuwavusha basi jitaidi sana kuepuka Kuwa ukuta yupo MUNGU ambaye atampa mtumwingine aweze kumvusha
✅️✅️Huna kitu cha kufanya upendwe na watu wote, hivyo kamwe usiumie roho sababu ya chuki zamtu fulani.
🙏🙏Mungu hakupi majukumu usiyo yaweza, hizo changamoto unazopitia ni moja ya mitihani yake usife moyo.