Hakuna Uadui mgumu wala Urafiki rahisi, kuna Maisha na Matukio yake na Kila Moja lina Muda wake, kama tunachokiona Sasa Hakifanani na tuliyoyaona Juzi, basi Hakitafanana na Kesho na ni Sawa(It's Okey), tuwe Tayari kwa Matokeo na Busara za Kuendana na Muda.