Mpeleka mtoto ibadani aisome na aijue dini yake,ajue kuwa Mungu yupo,ajue kuwa hakuna liwezekanalo chini ya jua bila kuwepo baraka za Mungu.Hiyo itamjenga kiimani,hekma na busara katika maisha yake

Chagua marafiki kwa busara na ishi kwa akili. Maisha ni safari ndefu, usiweke mzigo wa watu wasiofaa kukufuata. Chagua marafiki wanaokupa nguvu na furaha, na jifunze kutambua hatari za kuwa karibu na watu wasiofaa.

Wakati mwingine maisha huwa magumu lakini ugumu upimwa akilini, kwa hivyo hatupaswi kukimbia changamoto zinazotukabili,Maana pamoja na changamoto za maisha, busara itumike.

Kumsaidia mtu bila kujali tofauti za dini na kisiasa ni jambo la KIBINADAMUKukukumbusha ulipoteleza kipindi una matatizo ni jambo la BUSARAIle BUSARA isionekane chuki.Mtu anaweza akakukumbusha na akakusaidia kwa moyo Wote baada ya hapo Maisha mengine lazima yaendelee.

Leo ni nafasi ya kuandika hadithi mpya katika maisha yako. Hakuna umuhimu wa kuangalia nyuma; tazama mbele na tumia siku hii kwa busara, kwa maana ni zawadi yenye thamani kubwa.Mapambano ni hatua za kuelekea ushindii