Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Harakati Za Kuitafuta Busara Ni Safari Ndefu Katika Maisha Ya Mwanadamu
SawasawaMaana nzima ya kuishi maisha ni kuishi wakati unayo maisha, sio kutafuta ili uishi. Maisha hayakusubiri uyaishi, maisha yanakwisha. Safari ya mafanikio ndio mafanikio yenyewe, unachopata baada ya hii safari ni mwisho wa mafanikio. Jitahidi kufurahia safari yako kuliko uendapo
SawaSamaki akianza kuoza, huanzia kichwani, na kichwa kikioza basi mwili wote huoza
KweliMakosa ni sehemu ya maisha lakini jitahidi sana usiyarudie labda kama kuna Jambo maalum kwenye kuyarudia. Tujifunze katika makosa ili tuimarike na tupate Busara za maisha.
SahihiKatika Maisha sio kila mtu atapenda au kufurahishwa na kila kitu utachokifanya.Watu waliowengi huwa hawapendi kuona unafanya vyema kuwazidi wao na hilo ni suala la kawaida kabisa katika maisha ya wanaadamu kwasababu hakuna anaependa kuonekana mdhaifu na mnyonge.
📌📌RAFIKI YANGU kuna watu wengine kwa macho ya nyama utawaona kama wanakusifia sana lakini wakiwa PEKE YAO wanakuombea KIMYA KIMYA MABAYA MAKUBWA YAKUPATE ili upotee kabisa, muombe Mungu AKUPE hekima na busara za kujilinda na WADHALIMU hao kwenye maisha yako!!!!
📌📌📌Maisha ni safari, tunajua tulipotoka ila hatujui tunakoenda ishi ukifahamu Kuwa yeyote unayemuona anaweza akawa msaada wako pale utakapoanguka
📌📌📌Kuna Muda Katika Maisha Inakubidi Uishi Sehemu Usizozipenda , Upitie Nyakati Unazozichukia , Utabasamu Kwenye Nyakati Zinazohitaji Kulia Na Uondoke Sehemu Ulizo Ahidi Utabaki Milele
✅️Kuna Muda Katika Maisha Inakubidi Uishi Sehemu Usizozipenda , Upitie Nyakati Unazozichukia , Utabasamu Kwenye Nyakati Zinazohitaji Kulia Na Uondoke Sehemu Ulizo Ahidi Utabaki Milele
No kweli kabisawewe ndio wa kuyabadilisha maisha yako
📌📌📌ukiwa unajua unapo enda usipoteze mudaa kuwaelezea ambao hawaoni unacho kiona .
NakubalianaUkiunganisha hekima ya vitabuni na busara za maisha ya kila siku, unakuwa na silaha ya kushinda kila mtihani wa maisha
✅️✅️✅️ukiwa unajua unapo enda usipoteze mdaa kuwaelezea ambao hawaoni unacho kiona .