myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Sawasawa ✔️ ✔️Katika maisha usiisafishe soksi ilhali miguu inanuka!!! Osha miguu!!!
✅️✅️✅️Usifanye kwa sababu wenzako wanafanya,fanya ukiwa na sababu za kutosha kufanya wanacho fanya wengine
KweliUnaweza kuchagua kuona ubaya kwenye kila kitu kwenye maisha
Muhimu Ujumbe huuHakuna Uadui mgumu wala Urafiki rahisi, kuna Maisha na Matukio yake na Kila Moja lina Muda wake, kama tunachokiona Sasa Hakifanani na tuliyoyaona Juzi, basi Hakitafanana na Kesho na ni Sawa(It's Okey), tuwe Tayari kwa Matokeo na Busara za Kuendana na Muda.
Hili nalo kweliKijana jitambue,jipende,kubaliana na misimu ya maisha ya mwanaume; kwa upendo na busara ukubali nafasi yako mpya kwenye familia, kisha uendelee na hatua nyingine za maisha na tiba.
SawaUzuri wa kiburi ni namna kinavyokujaza ujasiri wa kuamini wewe ni jeshi la mtu mmoja—self made. Kikishafanikiwa kukufumba macho vizuri kinakutenganisha na kila unayemhitaji ili ufanye makosa bila usumbufu.
✅️✅️✅️"Kila siku inaleta fursa mpya za kujifunza na kukuza. Usikate tamaa na endelea kutembea kwa imani na kujiamini. Kumbuka, safari ya maisha ni hatua kwa hatua. Hakuna jambo lisilowezekana
👍Busara sio kujua tu kipi cha kusema ila pia wakati gani wa kusema, nani wa kumuambia na kwa sauti ipi. Pia maneno yapi ya kutumia katika kusema utakachosema. Vile vile kutokusema ni busara na wengi wanaikosa
👍✔️👍"DUNIA ya sasa ni kama MBUGA kwahiyo chagua wewe kupambana kama CHUI au kukimbia maisha yako yote kama swala
Ujumbe huu muhimu"DUNIA ya sasa ni kama MBUGA kwahiyo chagua wewe kupambana kama CHUI au kukimbia maisha yako yote kama swala
👍👍👍Mjukuu wangu kamwe usi thubutu kumuomba mungu akupe maisha kama ya mtu flani kwasababu huwezi jua anayo yapitia, Siku zote ombea maisha yako" Busara za babu
SawasawaBusara ipo kwenye moyo maarifa yapo kichwani, unapofikiri au kutenda aanzia kwenye moyo ndio upande kichwani....utatenda vyema daima
NakubalianaHakuna Mtu aliyefanikiwa akazungumziwa Vizuri na watu wote,Usisahau kuomba Busara za kuwa Mkimya na Mvumilivu kwa MUNGU wako Unapoomba Utajiri
Hili pia NakubalianaMaisha yapo kwenye kupokea ushauri na maoni ya watu juu ya maisha yako. Wema busara na hekima za maisha ni vitu vya kubadilishana na watu kiungwana.
🤲🙏🙏Mpeleka mtoto ibadani aisome na aijue dini yake,ajue kuwa Mungu yupo,ajue kuwa hakuna liwezekanalo chini ya jua bila kuwepo baraka za Mungu.Hiyo itamjenga kiimani,hekma na busara katika maisha yake
Sawasawa ✔️Mpeleka mtoto ibadani aisome na aijue dini yake,ajue kuwa Mungu yupo,ajue kuwa hakuna liwezekanalo chini ya jua bila kuwepo baraka za Mungu.Hiyo itamjenga kiimani,hekma na busara katika maisha yake
📌📌📌Hakuna Mtu aliyefanikiwa akazungumziwa Vizuri na watu wote,Usisahau kuomba Busara za kuwa Mkimya na Mvumilivu kwa MUNGU wako Unapoomba Utajiri
✅️✅️✅️Maisha ni vita, hata uwe na sababu nyingi za kwanini huwezi hayatakuacha salama, maisha ni vita visivyo na huruma hata kidogo, ukiwa mnyonge utapotezwa, utakanyagwa na kufa kama hutapambana
Haya sawaHakuna wa kusikiliza historia yako mpaka utakapo shinda. Kwahiyo SHINDA”