myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
✔️✔️✔️Leo ni nafasi ya kuandika hadithi mpya katika maisha yako. Hakuna umuhimu wa kuangalia nyuma; tazama mbele na tumia siku hii kwa busara, kwa maana ni zawadi yenye thamani kubwa.Mapambano ni hatua za kuelekea ushindii
📌📌📌Leo ni nafasi ya kuandika hadithi mpya katika maisha yako. Hakuna umuhimu wa kuangalia nyuma; tazama mbele na tumia siku hii kwa busara, kwa maana ni zawadi yenye thamani kubwa.Mapambano ni hatua za kuelekea ushindii
SawaUkiwauzia Vitu Marafiki au Ndugu Haijalishi Umewauzia Bei Gani, Watalalamika Na Kudhani Unatajirika Kupitia Pesa Zao
SahihiKuna watu wanasubiri uharibikiwe waanze kusema tulisema
NakubaliUlimwengu hautakupa njia, bali kila hatua unayochukua kwa imani na bidii, utaijenga njia yako
....utaijenga njia yakoUlimwengu hautakupa njia, bali kila hatua unayochukua kwa imani na bidii, utaijenga njia yako
...changamoto ni kawaida kabisa.Ukiwa na matarajiio makubwa katika kuweka malengo na mafanikio kwako jiandae kupokea changamoto ambazo zitakufanya Kuwa bora Zaidi na kuzifanyia kazi bila ya changamoto huwezi Kuwa bora..
Amina....MUNGU wetu mbariki na umpe Amani yoyote aliyeiona Siku ya LEO..