Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hakuna ubaya katika kusindikiza au kumsaidia mtu kujenga ndoto yake wakati na wewe unajipanga katika kufikia ndoto yako.
Tatizo la waafrika wengi huwa tunaishia kuwafaidisha watu kwa ujuzi wetu na muda wetu,tunaishi mpk kuishia katika kuwatumikia watu. Amka uishi yako.