Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Si wote ni wepesi wa kuomba radhi kwa maneno, wengine huomba kwa vitendo. Ukishindwa kabisa kuomba msamaha kwa maneno, basi tumia vitendo na moja ya kitendo ni kubadili tabia au kile ulichokikosea.