Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

"Mahusiano na urafiki yanapaswa kumsogeza kila mmoja karibu na furaha yake na ndoto za maisha yake. Harakati za kuikimbiza furaha yako zisifanye mwenza au rafiki yako aikimbie mbali furaha yake. Usitake watu waache safari zao usindikizwe peke yako. Kuishi ni kusindikizana!"
Sawasawa
 
Ukishakuwa mtu mzima kila kosa unalolifanya kwenye maisha yako kuna namna utalilipia kwa kutoa pesa tu.
 
Usije ukamnyima mzazi wako fedha kwa kisingizio cha malengo, Kuna kipind nae alishindwa hata kununua nguo za kupendeza ili ule na kusoma
 
Unaweza kuwa na umri mkubwa usiwe na mafanikio. Unaweza kuwa namafanikio usiishi umri mkubwa. Unaweza kuwa na ndoa usiifurahie na unaweza kutamani sana ndoa usiipate. Mwombe Mungu package nzima ya baraka. Hii hapa itakusaidia
 
Umri mkubwa bila mafanikio......!!
 
Back
Top Bottom