Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Muda mwingine usisubiri pongezi kutoka kwa watu, jitahidi kujipongza mwenyewe kwa kila hatua unayoipiga.
 
"Mahusiano na urafiki yanapaswa kumsogeza kila mmoja karibu na furaha yake na ndoto za maisha yake. Harakati za kuikimbiza furaha yako zisifanye mwenza au rafiki yako aikimbie mbali furaha yake. Usitake watu waache safari zao usindikizwe peke yako. Kuishi ni kusindikizana!"
 
Kama vile kilio cha mtoto kinavyo vuta umakini wa mama yake ndivyo maombi yako yatakavyo mvuta Mungu karibu yako zaidi
 
Ukimya ni silaha yenye nguvu. Kujua wakati sahihi wa kunyamaza kunaweza kukuokoa na matatizo mengi yasiyo ya lazima. Si kila hali inahitaji majibu wakati mwingine, ukimya husema zaidi kuliko Maneno.
 
Back
Top Bottom