Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tafiti: Kuweka vitu vyako katika mpangilio mzuri inakufanya uwe na mawazo na fikra zenye mpangilio mzuri pia.
 
Moja ya uongo unaongozwa kufanywa na watumiaji wa intaneti, ni pale wanapoambiwa kusoma na kuelewa masharti na taratibu kisha kukubali. Wengi hukubali bila hata kusoma kidogo!
 
Tafiti: Kulia wakati unatazama filamu ni moja ya kiashiria una afya bora kihisia (emotional strength).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…